NAIKA
ROMANCE,DRAMA,SUSPENCE,CRIME.
📺 COMPLETE SEASON
Ni series ya kihindi yenye mchanganyiko wa mapenzi, siri na usaliti. Hadithi inamuhusu Riddhima, msichana mwenye moyo mzuri anayejikuta ameolewa na tajiri hatari aitwaye Vansh. Ndani ya ndoa hiyo kuna siri nzito, fitina na hatari nyingi, ambapo kila mtu anaonekana kuwa na agenda yake. Kadri story inavyoendelea, Riddhima analazimika kuwa jasiri na kugundua ukweli ulioko nyuma ya maisha ya Vansh, huku akipambana na mapenzi, hofu na udanganyifu. Ni series yenye suspense kali inayokufanya utake kujua kinachofuata kila episode 🔥.
📺 EPISODE 1 - 585
WATCH ALL

0 Comments